Monday, December 17, 2012

Nani hasa mmiliki wa mwanaume, mama yake au mkewe? Fuatilia mabishano haya:MAMA:Mwanangu lazima aniheshim mimi. Alinyonya maziwa yangu kwa miaka takrbani miwili.

MKEWE:mimi ni zaidi ya miaka mitano sasa ananyonya maziwa yangu na bado anaendelea kunyonya.


MAMA: nilimbeba tumboni kwa miezi tisa.


MKEWE: kipindi hicho alikuwa na kilo 3.5 tu,lakini mimi nambeba kila ucku angali na uzito wa kilo 85 sasa!


MAMA: alipita katikati ya mapaja yangu!


MKEWE: Ha ha haaa...!Ww alipita mara moja tu,vp kwangu mimi? Anakuwemo kwenye mapaja yangu kila siku.


Jamaa aliye nitumia ujumbe huu anasema "HEBU NISAIDIE, NANI HASA MMILIKI WA MWANAUME"

1 comment:

Anonymous said...

mwanamme anajimiliki mwenyewe hayo yaliyo baki ni majukumu tu au ni wajibu