Friday, December 7, 2012

Zawadi

vitu vidogo vikitolewa kama zawadi hubadilika na kuwa vitu vikubwa sana vyenye maana kubwa isiyosemekana. jiulize huyu mama anajisikiaje aikona dogo kala embe kashiba na kumpelekea mama zawadi?

No comments: