Monday, July 29, 2013

tamaduni, maadili na maendeleo

Tuaweza kweli kuwa na Tz iliyostawi na tukawa na tamaduni zetu tukiamua. nchi za Asia zimeendelea na zinatunza tamaduni kwa kiasi kikubwa, TZ wakazi wa mijini wanajaribu kukumbuka tamaduni zao pale wanapokuwa na shughuli za ndoa/harusi naona kama South Africa wanapiga hatua lakini  tamaduni wanajitahidi, si unajua utamaduni lazima ukue na kubadilika pia?

wazazi kuadhibu watoto, sijui kwa nini wazazi wanalazimika kutunza maadili ya vijana, je ninani anatunza maadili ya wazee? wazee hawachemki kimaadili? ushoga ni wa vijana kuliko wazee? uvunjifu wa maadili ni wa vijana pia kuliko wazee? anayemonitor na kusema vijana wanachemka na wazee wako bonmba ninani kijana au mzee?
najiuliza

No comments: