Wednesday, January 1, 2014

mwaka 2014 na mwamko mpya

baada ya kimya kirefu, sasa mwaka wa 2014 ni mwaka wa kufufuka kwa blogu hii, kuleta habari na picha za kusisimua, elimu, utambuzi na tafakari

karibu sana tunaomba kueneleza ushirikiano wetu wa awali

Admn, kijiweni blogu

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Kheri ya mwaka mpya 2014...