Saturday, March 1, 2014

nimeshiriki mazishi ya balozi Kazaura, wengi walikuwa naye ulaya

katika mazishi ya Balozi Furgence Kazaura, mamia kwa makumi wamehudhuria na wengine wakitokea jijini Dar na maeneo mengine ya nchi. 

watu waliopewa nafasi ya kuzungumza jinsi walivyomfahamu marehemu wameongelea zaidi jinsi walivyokutana naye maenoa tofauti ya Ulaya na marekani na wakaeleza walivyokuwa ndugu wa karibu wa marehemu hata kama wengine sio wa kijiji hicho!
alikuwepo mzee Mutasa, Prof Rweyemamu, Kagaruki etc. 

umeme uliwaka bila hata kutikisikia huku barabara ikitengenezwa mpaka nyumbani kwa marehemu. wengine waliohudhuria mazisha ya Balozi Kazaura ni pamoja na Lwekaza Mukandala, Edward Lowasa, bila kusahau Rais Jakaya Kikwete na Askofu Kilaini aliyeongoza ibada ya mazishi

No comments: