Monday, March 10, 2014

ujjumbe kwa wanawake

What a challenge, hivi mnajua ya kuwa sisi sote wanaonyanyasa na wasionyanyasa wanawake tumezaliwa na kulelewa na wanawake na hivyo matendo yetu yanareflect tulivyolelewa na wanawake ili tuwe tulivyo?
katka masuala ya wanawake kuna Radical feminism inayojaribu kuonyesha usawa wamwanamke na mwanaume yaani ni kama ubishi fulani, kwa mfano soka la miguu la wanawake linapigiwa upatu kuliko netball etc
ila sasa wanaume wote waliokwenye position wamepiganiwa na wanawake. wanawake hunyanyasana sana wao kwa wao labda kuliko wanavyonyanyaswa na wanaume. mfono hai ni manyanyaso niliyoyashuhudia kwa mama yangu dhidi ya mawifi zake na mama mkwe wake au bibi yangu - hatari
wanawake wajifunze kuwa kuna maisha ya ndoa, na kuna vyeo kazini, wasichanganye mambo haya kamwe. ninavyoona na kutenda, kwenye ndoa hamna HAKI, ila kuna maelewano/makubaliano na maridhiano. ukileta habari ya haki utaishia kutengana
anyway am proud kuwa maisha yangu yamezungukwa na Mwanamke, nilizaliwa kutoka kwenye tumbo la mwanamke, nikawakaribu na dada, nikapata girlfriends na sasa naishi na Mke natamani piia kuzaa kabinti, so maisha yangu hayawezi kutenganishwa na mwanamke

No comments: