Wednesday, September 17, 2014

the coming back, kurudi mara ya pili.

bandugu bapendwa

kuna watu wanaosubilia ujio wa Mesiah, kuna waliokata tamaa hawasubilii tena Mesiah wala nani maana it have taken long time without any hope ar any sign post that the guy is now somewhere near on the road and so pave the way, mtandikie matawi ya miti na nguo ili hasikanyage udongo

sasa basi, blog yetu hii inakujia tena upya katika uzuri na ubora usiosemekana. nikutie moyo wa kujiandaa kusoma blog hii na kuchangia maoni. kama kawaida vichekesho, vitimbwi, vituko, elimu, habari na picha zitakuwa ndizo nguzo zetu

so karibu sana kijiweni usisahau kuacha lijimaoni hata moja tu

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ni furaha ilioje kusikia haya ila mimi sikukuta tamaa nilijua tu kuna siku utarudi na umerudi..kwa mara nyingine tena karibu sana katika ulimwengu huu wa blogg na twasubiri kwa hamu kukusoma:-)

obat bius said...

I 'm so glad you could come across this site ,
and we hope to establish good relations with you.
greetings from me ( Apotikobatbius.com ).
obat bius
obat tidur
apotik obat tidur

obat kuat
obat perangsang wanita

jual obat bius
jual obat tidur
apotik obat bius